WELCOME HMC

2 / 3
3 / 3
3 / 3
2 / 3
Caption Two
3 / 3
Caption Three

Thursday, 29 August 2019

HUU NDIO UTOFAUTI WAKO NA WENGINE.

Sio jambo la siri kwamba kila mtu angependa kuonekana mwenye mvuto,imara na mwenye nguvu zaidi,
Jambo hili linaweza kua gumu kwako, Lakini ebu fikiri kidogo. Je? itakuaje kama kuna anayeweza kukufany uwe wa tofauti na wakuvutia zaidi? Njoo HABARI MAALUM COLLEGE tupo tayari kukufanya wa tofauti na mwenye mvuto zaidi.

OCTOBER IS COMING ARE YOU READY?

Hello Frend October is coming,
Do you have trouble in finding perfect college for your studies? Worry no more, Habari Maalum College  we got you make sure you join in for October intake.


Monday, 25 March 2019

Wasemavyo Marafiki Wapya

Hawa ni baadhi ya Marafiki wapya wa Chuo cha Habari Maalum, wakifurahi na kusimulia mapokezi na mazingira bomba waliokutana nayo #KARIBU RAFIKI
Thursday, 21 March 2019

Pumzika rafiki umepata

Unatafuta Elimu yenye ajira  moja kwa moja? Baasi umepata rafiki, Chuo cha Habari Maalum tunakujali na tumeamua kukupatia kilicho bora bila gharama za ziada, tunakupatia elimu yenye ubora na viwango vya kimataifa. Karibu rafiki HAPA NI NYUMBANI.

Thursday, 14 March 2019

Karibu Pita Mpaka ndani

Habari rafiki? hongera kwa kufanya chaguo sahihi kukichagua Chuo cha Habari Maalum kua muafaka  katika masomo yako,. Tumekupokea kwa mikono miwili na tutakupatia yale unayotarajia, na kubwa kuliko wewe ni sehemu yetu rafiki.