WELCOME HMC

2 / 3
3 / 3
3 / 3
2 / 3
Caption Two
3 / 3
Caption Three

Friday 28 April 2017

AGIZO: Waliokamatwa na Vyeti Feki Wafungwe Jela Miaka Saba

Rais John Magufuli amesema watumishi 9732 waliobainika na vyeti feki wakatwe mshahara wa mwezi huu na wafukuzwe kazi, Kama watakaidi mpaka kufikia Tarehe 15 mwezi Mei  wachukuliwe hatua kwa kufungwa jela miaka saba.

Amesema kwa kuwa watumishi hao wanajijua, hata majina yao yachapishwe kwenye magazeti kwa kuwa wameiibia serikali.

“Hawa ni majambazi, majizi kama yalivyo majizi mengine,” amesema

No comments:

Post a Comment