WELCOME HMC

2 / 3
3 / 3
3 / 3
2 / 3
Caption Two
3 / 3
Caption Three

Monday 8 May 2017

Kufuatia vifo vya wanafunzi, Wabunge watoa posho zao kuomboleza

Wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo wakiwa bungeni wamekubaliana kwa kauli moja kuwa posho za kila mbunge kwa siku ya leo zipelekwe kwa wazazi wa wanafunzi waliofariki kwa ajali ya basi la Shule ya awali na Msingi ya Lucky Vincent

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anaongoza waombolezaji mbalimbali kuaga miili 35 ya marehemu katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

Mbali na Makamu wa Rais pia viongozi mbalimbali wa Serikali wamewasili katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuaga miili ya wanafunzi waliofariki kwa ajali Arusha

No comments:

Post a Comment