WELCOME HMC

2 / 3
3 / 3
3 / 3
2 / 3
Caption Two
3 / 3
Caption Three

Monday 12 June 2017

Kauli 15 nzito za JPM baada ya kupokea Ripoti ya Kamati ya Pili

Leo June 12, 2017 Rais Magufuli amekabidhiwa Ripoti ya Kamati ya Pili aliyoiunda kwaajili ya kuchunguza mchanga wa madini uliozuiwa kusafirishwa kwenda nje ya nchi baada ya kubainika kuwepo kwa udanganyifu wa  uzito na thamani yake.
Ripoti hiyo imekamilisha kile kilichokuwa kikisubiriwa na wengi ili kujua ni nini itakuwa hatma ya mchanga huo ambapo baada ya kuipokea ripoti hiyo Rais JPM ameagiza kuwa hakutakuwa na usafirishaji wa mchanga kwenda nje ikiwa ni pamoja na kupitisha mapendekezo 20 ya kamati hiyo.
Nimekukusanyia hapa Kauli 15 za Rais JPM alizotoa baada ya kukabidhiwa ripoti hiyo.

No comments:

Post a Comment