Taarifa imetokea Clouds Media makao makuu Dar es salaam ambapo vyombo vyake vya CloudsFM, ChoiceFM, CloudsTV havitorusha vipindi vyake kama ilivyozoeleka kila siku. Sababu kubwa za kufanya hivyo kuanzia leo Jumapili mpaka Jumanne usiku ni kuungana na Watanzania kuomboleza vifo vya watu 32 wakiwemo Wanafunzi 29 ambao wamepoteza maisha kwenye ajali ya Basi dogo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
|
|
No comments:
Post a Comment