Ni muda wako wakutimiza ndoto yako kupitia Habari Maalum College kwa kujiunga na kozi mbalimbali za kiwango cha kimataifa kwa ngazi ya cheti na diploma,kwa wewe kijana ulie maliza kidato cha nne na cha sita,Kozi tunazo toa ni Media and Communication na pia Leadership and Management,ambazo zote zinatolewa kupitia walimu walio bobea na wenye kiwango cha kimataifa.
Pia tunazo studio za kisasa za radio na TV zenye uwezo wa kurusha matangazo eneo la chuo kama sehemu ya mazoezi( Cable Live presentation) ambazo zimekuwa zikiwapa uzoefu mkubwa wanafunzi wanao maliza katika chuo cha Habari Maalum na kuweza kupata ajira pindi wawapo field.
Tuna maktaba za kisasa ambazo zimekuwa zikiwasaidia wanafunzi kujisomea na kupata ufahamu zaidi katika taaluma zao.
Muhula mpya wa masomo unaanza January 2016 kwa ngazi ya cheti na diploma kwa atakaye penda kujiunga na masomo katika chuo cha Habari Maalum Arusha,
Pia tunatoa kozi fupi za kuanzia mwezi mmoja hadi mitatu kwa watakao penda kusoma kozi za
-Video production
-Utangazaji
-Video shooting and Edting
-Leadership and Management
-Na kozi atakazo penda kusoma kutokana na malengo yake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
|
|
No comments:
Post a Comment