WELCOME HMC

2 / 3
3 / 3
3 / 3
2 / 3
Caption Two
3 / 3
Caption Three

Tuesday, 11 April 2017

Alichokisema Juma Nkamia kuhusu Waziri Mwakyembe kwenda kwenye press ya Roma

Mbunge wa Chemba Juma Nkamia ni kati ya waliopata nafasi ya kusimama Bungeni Dodoma leo April 11, 2017 katika kuchangia maoni kuhusu mapitio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi ya Waziri mkuu na ofisi ya bunge kwa mwaka wa fedha 2017/2018.

Katika vitu alivyogusia Nkamia ni kitendo cha Waziri wa Habari, utamaduni, sanaa na michezo Dr. Harrison Mwakyembe kwenda katika mkutano wa msanii Roma mkatoliki alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam jana.

No comments:

Post a Comment