leo tarehe 19 Umoja wa Wasanii wa Bongo Movie Kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam chini ya Paul Makonda
maandamano hayo ya amani yameanza kutoka Katika ofisi ya Mkuu ya Mkoa kuelekea Eneo la kariakoo, kwa lengo la kufanya mkutano wa kuzuia Uingizwaji na Uuzwaji wa filamu kutoka Nje ya nchi.
Baadhi ya Wasanii waliohudhuria ni Wolper, JB, Kajala, Ray Kigosi, Richi Richi, Radio.
Muungwana Blog itakujuza habari kamili
No comments:
Post a Comment